Baadhi ya warembo watakao shiriki kinyang'anyiro cha miss
Ilemela kinachotarajiwa kufanyika tarehe 26/05/2012 kwa mara ya kwanza
katika ukumbi mkubwa wa GOLD CREST HOTEL jijini Mwanza.

Karibu katika blog itayokupa habari zote zinazohusu Maisha, Siasa, Uchumi, Burudani na Biashara, zote utapata hapa!

Inter zepha Tanzania Limited ya jijini la Mwanza imetoa zawadi kwa mshindi wa shindano la essay writing competition lililofanyika katika shule ya sekondari pamba ya jijini mwanza. Shindalo hilo lililo jumuisha wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 baada ya kampuni kufanya Semina kuhusu ICT Aweaness iliyofanyika tar 15 july na kutoa zoezi la kuandika essay juu ya umuhimu wa tekinolojiya ya habari na mawasiliano katika elimu ambapo kampuni hiyoilitoa ahadi kutoa zawadi ya lap top kwa mshindi.
Ludacris akijiweka sawa kwa ajili ya kurekodiwa na Wana Wa Clouds TV jioni ya leo.